Posts

Showing posts from November, 2020

TOKOMEZA UJINGA TUJENGE UCHUMI WA NCHI YETU

 *SOMA MPAKA MWISHO* Kwa majina naitwa *Eng. SAIMON MATHEW NDAKI*. Ni mhitimu wa chuo kikuu cha kilimo SUA (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE) 2015/2019. Nimesomea fani ya uhandisi katika sector ya viwanda.  Bcs:  In Bioprocess and Post harvest Engineering. kwa kiswahili. mhandisi wa uchakataji, usindikaji na uhifazi wa mazao ya kilimo. *Binafsi mimi ni mdau na mkeleketwa wa sector ya elimu hapa nchini* Ni katika harakati za kupambana na adui ujinga anayetafuna Taifa letu.  Pamoja na utambulisho huo mfupi.  Awali ya yote Nipenda kuchukua nafasi hii kukuomba ushilikiano wako wa dhati kwani natambua juhudi,  jitihada na mchango wako katika sector ya elimu hapa nchini. Ninachokiamini Mimi bila elimu bora nchi yetu haiwezi kuendelea kupiga hatua bila ya kuwa na wasomi wazuri Kwa fani tofauti tofauti kwani elimu ni pamoja na technolojia na technolojia ni maarifa.  Kwa kulitambua hilo kama mzalendo wa kweli na nchi yangu nimeamua kuwekeza nguvu, akili na uta...