Posts

Showing posts from 2022

Habarin ya darasa la Sana na PhD.

 *❤️ANAANDIKA Eng. SAIMON.M.NDAKI❤️* *Habari ya darasa la saba na PhD(Inauma)* Kwa upendo mkubwa kabsa pia kupitia Imani na itikadi ya chama cha mapinduzi anayoiishi Eng. Ndaki ktk maisha yake ya kila siku. *Anaamini binadam wote ni sawa* Kama mwana CCM Jasili, imala,hodari, makini na mtiifu aliyepikwa ndani ya itikadi ya CCM. Ameamua kusema kwa ufupi Sana kwa habari ya *Darasa la saba na PhD(Inauma)*. Ndg. Zangu Watanzania wenzangu na wanachama wenzangu Jambo la Darasa la saba na PhD sio dogo na sio zuri kwa mahasrah mapana ya usitawi wa Taifa letu kwani linaumiza sana na kila kukicha limekuwa likichukua nafasi na kupamba Moto ndani ya jamii zetu, watoto, vijana, wazee na jamiii nzima. Ndg. Zang wantanzania wenzangu Tukumbuke kwa miaka mingi Sana Taifa letu tumekuwa tukipambana kulitoa na kuling'atua na adui mkubwa kabsa wa Taifa letu *UJINGA* dira yetu ya pamoja ilikuwa ni kutokomeza kabsa adui UJINGA ktk Taifa letu kwani elimi ni ufunguo wa maisha. leo hii kumeibuka kasumba na t...