Posts

Showing posts from 2017

FAHAMU JINSI YA KUFANYA BIASHARA KIPINDI CHA MAGUFULI

Image
Sababu zinazowafanya watu kufunga frem kila kona ni nini??  "kabla ya yote ninamatatizo ya L& R. but niya yangu upate ujumbe". Ninashindwa kuelewa kipindi hiki imekuwaje?? kuna nini?? kulikoni??  mbona kila pande za nchi ukipita maduka na frem nyingi zimefungwa?? eti watu wanadai maisha ni magumu. swali la kujiuliza je ukifunga frem ndo suruhisho sahihi la kuyafanya maisha yawe rahisi?? kama wewe ni mfugaji unahisi kuuza mifugo na kuchinja yote ni suruhisho sahihi?? na kama wewe ni mkulima unahisi kufungia jembe ndani ndio suruhisho la kufanya maisha kwako yasonge??? Hii inatokea kwa sababu watu wengi tulikuwa tumezoea kufungua biashara zetu kwa mazoea bila kujua mambo mhimu yanayotakiwa ktk biashara ni yapi?? Mtu anafuga lakin hajuwi anatumia njia gani ya kufuga au mtu analima hajui kesho mvua isiponyesha atafanyeje ili mazao yake yasiwe na shida. wengi wetu tulikuwa tunafanya shughuri zetu za kibiashara kwa mazoea na bila tahadhari yoyote. bila ya ...

SIRI YA KUWEZA KUFIKIA NDOTO YAKO

Image
Katika maisha UKIANGUKA NYANYUKA KISHA ENDELEA NA SAFARI YAKO HUKO UENDAKO: Kwani hiyo ndiyo siri kubwa ambayo wengi wetu tunashindwa kufikia malengo yetu baada ya kuanguka kupitia changamoto za hapa na pale. tunashidwa kujua tumeangukia wapi?? na ukishajua ulipoangukia inapendeza na inafurahisha kukupa wewe uzoefu wa kutoanguka tena au uwezo wa kubadiri njia ya kupita ili safari yako ufike huko uendako.                                                                            Tazama mfano huu. nataka ujifunze kitu. Katika maisha kawaida mtoto anapoanza kutembea, huanguka mara kadhaa, lakini hakati tamaa  huende...

CHALLENGE IS PART OF HUMAN LIFE

Dear brothers and sisters to day I like to share with you about challenge of life. in most day i can try to question my head. (WHY ME)*3: Why is this happening to me??? Most youth/most people ask this when they are faced with hardship. Now let me ask you, if not you, who should be challenged???. My dear brothers and sisters let me tell you one thing. As you all know, this world we live in is full of challenges. We should face them with confidence since this is what makes life interesting dealing with those challenges is what makes life meaningful. Don‘t give up; don’t lose hope in the world. Struggle; you can make it. (Prove that you can do it)*3. The future be longs to those who believe in the beauty of their dreams. Believe in yourself and you can!!! You must!!! You will and you are number one. the issue is only one try to “THINK BIG” welcome to my blogger     "let us walk together".