FAHAMU JINSI YA KUFANYA BIASHARA KIPINDI CHA MAGUFULI

Sababu zinazowafanya watu kufunga frem kila kona ni nini?? "kabla ya yote ninamatatizo ya L& R. but niya yangu upate ujumbe". Ninashindwa kuelewa kipindi hiki imekuwaje?? kuna nini?? kulikoni?? mbona kila pande za nchi ukipita maduka na frem nyingi zimefungwa?? eti watu wanadai maisha ni magumu. swali la kujiuliza je ukifunga frem ndo suruhisho sahihi la kuyafanya maisha yawe rahisi?? kama wewe ni mfugaji unahisi kuuza mifugo na kuchinja yote ni suruhisho sahihi?? na kama wewe ni mkulima unahisi kufungia jembe ndani ndio suruhisho la kufanya maisha kwako yasonge??? Hii inatokea kwa sababu watu wengi tulikuwa tumezoea kufungua biashara zetu kwa mazoea bila kujua mambo mhimu yanayotakiwa ktk biashara ni yapi?? Mtu anafuga lakin hajuwi anatumia njia gani ya kufuga au mtu analima hajui kesho mvua isiponyesha atafanyeje ili mazao yake yasiwe na shida. wengi wetu tulikuwa tunafanya shughuri zetu za kibiashara kwa mazoea na bila tahadhari yoyote. bila ya ...