KUHUSU Eng. S. M. Ndaki
Kwanza kabisa Eng. S. M. Ndaki Ni mdau mkubwa wa sector ya elimu hapa nchin.
Eng. SAIMON MATHEW NDAKI. Ni mhitimu wa chuo kikuu cha kilimo SUA (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE) 2015/2019. Amesomea fani ya uhandisi katika sector ya viwanda. Yaani Bcs: in Bioprocess and Post harvest Engineering. kwa kiswahili. Mhandisi wa uchakataji, usindikaji na uhifazi wa mazao ya kilimo. Binafsi yeye ni mdau na mkeleketwa wa sector ya elimu hapa nchini katika harakati za kupambana na adui ujinga anayetafuna Taifa letu. Nimzaliwa wa Wilaya ya MANYONI mkoa wa SINGIDA nchin TANZANIA.
Pamoja na utambulisho huo mfupi. Awali ya yote Eng. SAIMON MATHEW NDAKI Anapenda kuchukua nafasi hii kukuomba ushilikiano wako wa dhati kwani anatambua juhudi, jitihada na mchango wako katika sector ya elimu hapa nchini. Anachokiamini yeye bila elimu bora nchi yetu haiwezi kuendelea kupiga hatua bila ya kuwa na wasomi wazuri Kwa fani tofauti tofauti kwani elimu ni pamoja na technolojia na technolojia ni maarifa. Kwa kulitambua hilo Eng SAIMON MATHEW NDAKI Anatoa wito kwa watanzania wote kuunga mkono program yake ya "TOKOMEZA UJINGA TUJENGE NCHI YETU"
Welcome to my blog. Let us Walk together.
Comments