Posts

Habarin ya darasa la Sana na PhD.

 *❤️ANAANDIKA Eng. SAIMON.M.NDAKI❤️* *Habari ya darasa la saba na PhD(Inauma)* Kwa upendo mkubwa kabsa pia kupitia Imani na itikadi ya chama cha mapinduzi anayoiishi Eng. Ndaki ktk maisha yake ya kila siku. *Anaamini binadam wote ni sawa* Kama mwana CCM Jasili, imala,hodari, makini na mtiifu aliyepikwa ndani ya itikadi ya CCM. Ameamua kusema kwa ufupi Sana kwa habari ya *Darasa la saba na PhD(Inauma)*. Ndg. Zangu Watanzania wenzangu na wanachama wenzangu Jambo la Darasa la saba na PhD sio dogo na sio zuri kwa mahasrah mapana ya usitawi wa Taifa letu kwani linaumiza sana na kila kukicha limekuwa likichukua nafasi na kupamba Moto ndani ya jamii zetu, watoto, vijana, wazee na jamiii nzima. Ndg. Zang wantanzania wenzangu Tukumbuke kwa miaka mingi Sana Taifa letu tumekuwa tukipambana kulitoa na kuling'atua na adui mkubwa kabsa wa Taifa letu *UJINGA* dira yetu ya pamoja ilikuwa ni kutokomeza kabsa adui UJINGA ktk Taifa letu kwani elimi ni ufunguo wa maisha. leo hii kumeibuka kasumba na t...

TOKOMEZA UJINGA TUJENGE UCHUMI WA NCHI YETU

 *SOMA MPAKA MWISHO* Kwa majina naitwa *Eng. SAIMON MATHEW NDAKI*. Ni mhitimu wa chuo kikuu cha kilimo SUA (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE) 2015/2019. Nimesomea fani ya uhandisi katika sector ya viwanda.  Bcs:  In Bioprocess and Post harvest Engineering. kwa kiswahili. mhandisi wa uchakataji, usindikaji na uhifazi wa mazao ya kilimo. *Binafsi mimi ni mdau na mkeleketwa wa sector ya elimu hapa nchini* Ni katika harakati za kupambana na adui ujinga anayetafuna Taifa letu.  Pamoja na utambulisho huo mfupi.  Awali ya yote Nipenda kuchukua nafasi hii kukuomba ushilikiano wako wa dhati kwani natambua juhudi,  jitihada na mchango wako katika sector ya elimu hapa nchini. Ninachokiamini Mimi bila elimu bora nchi yetu haiwezi kuendelea kupiga hatua bila ya kuwa na wasomi wazuri Kwa fani tofauti tofauti kwani elimu ni pamoja na technolojia na technolojia ni maarifa.  Kwa kulitambua hilo kama mzalendo wa kweli na nchi yangu nimeamua kuwekeza nguvu, akili na uta...

KUHUSU Eng. S. M. Ndaki

Kwanza kabisa Eng. S. M. Ndaki Ni mdau mkubwa wa sector ya elimu hapa nchin. Eng. SAIMON MATHEW NDAKI. Ni mhitimu wa chuo kikuu cha kilimo SUA (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE) 2015/2019. Amesomea fani ya uhandisi katika sector ya viwanda.  Yaani Bcs:  in Bioprocess and Post harvest Engineering. kwa kiswahili. Mhandisi wa uchakataji, usindikaji na uhifazi wa mazao ya kilimo. Binafsi yeye ni mdau na mkeleketwa wa sector ya elimu hapa nchini katika harakati za kupambana na adui ujinga anayetafuna Taifa letu. Nimzaliwa wa Wilaya ya MANYONI mkoa wa SINGIDA nchin TANZANIA.   Pamoja na utambulisho huo mfupi.  Awali ya yote Eng. SAIMON MATHEW NDAKI Anapenda kuchukua nafasi hii kukuomba ushilikiano wako wa dhati kwani anatambua juhudi,  jitihada na mchango wako katika sector ya elimu hapa nchini. Anachokiamini yeye bila elimu bora nchi yetu haiwezi kuendelea kupiga hatua bila ya kuwa na wasomi wazuri Kwa fani tofauti tofauti kwani elimu ni pamoja na technolojia n...
Image
                   KIONGOZI/A LEADER: Kabla ya yote kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa yote anayoendelea kutujaria ktk maisha yetu. Leo nimependa kuwashirikisha kuhusu kiongozi ni nani? Na sifa bora za kiongozi. Kwani kwa namna yoyote ile sisi sote ni viongozi kwani uongozi haukwepeki popote utakapokwenda itafikia kipindi itakulazimu uwe kiongozi. Kama sio wa serikali basi dini na kama sio hapo basi familia. Sasa basi kwa namna yoyote ile kujifunza kuhusu uongozi au kiongozi bora hakuepukiki. Ndugu zangu uongozi unabeba vitu vingi sana ktk maisha yetu kwani ukihitaji kuwa na mafanikio ya aina yoyote ile yanahitaji kupitia kwenye misingi ya uongozi bora. Kwa mfano: ukitaka maendeleo ya kiuchumi lazima uongozi bora utahitajika, ukitaka familia bora lazima uongozi bora utahitajika, ukitaka Amani ktk nchi lazima uongozi bora unahitajika.  Yaani ni mahali popote uongozi bora uhahitajika. Kwa ufupi sana leo tutakwenda kujifunza na ...
UNCOVER Your POTENTIAL                             Hellow Hellow hellow  Dear brothers and sisters. Before each and everythings.   JUST AS k yourself the following q uestions: Who am I? Why am I here? How much potential do I have? What am I capable of doing? By what criteria should I measure my ability? Who sets the standards? By what process can I maximize my ability? What are my limitations? Within the answers to these questions lies the key to a fulfilled, effective life. One of the greatest tragedies in life is to watch potential die untapped. Many potentially great men and women never realize their potential because they do not understand the nature and concept of the potential principle. As God has revealed to me the nature of potential, I have received a burden to teach others what I have learned. There’s a wealth of potential in you. My purpose is to help you understand that ...
USIOGOPE FEAR NOT  {USIOGOPE} . Je unajua. Mungu anatumia wanadamu kama daraja la M ungu kukushika mkono??. USIOGOPE. soma mpaka mwisho utaelewa. Dear brothers, sisters and Friends; first of all we have to know that before God formed us in our mother’s wombs, and before we came forth out of the womb, He sanctified us, and ordained us to come on this earth and fulfill a specific assignment for Him. See; God over this days has set us to be born in Tanzania – the “third world nation” for a specific purpose. Because God does nothing without having a reason for what he is doing. (See Jeremiah 1:5 Isaiah 46:9-10)   fear not{usiogope}. God has no plan for anyone to fail Therefore we have to be confident because just like the way normal manufacturers don’t like their product to fail, the same thing is very true for God. Because He is our manufacturer and we are His products. Therefore any of our failure is bad for God, since we are of his own image and of his likeness. God ...

FAHAMU JINSI YA KUFANYA BIASHARA KIPINDI CHA MAGUFULI

Image
Sababu zinazowafanya watu kufunga frem kila kona ni nini??  "kabla ya yote ninamatatizo ya L& R. but niya yangu upate ujumbe". Ninashindwa kuelewa kipindi hiki imekuwaje?? kuna nini?? kulikoni??  mbona kila pande za nchi ukipita maduka na frem nyingi zimefungwa?? eti watu wanadai maisha ni magumu. swali la kujiuliza je ukifunga frem ndo suruhisho sahihi la kuyafanya maisha yawe rahisi?? kama wewe ni mfugaji unahisi kuuza mifugo na kuchinja yote ni suruhisho sahihi?? na kama wewe ni mkulima unahisi kufungia jembe ndani ndio suruhisho la kufanya maisha kwako yasonge??? Hii inatokea kwa sababu watu wengi tulikuwa tumezoea kufungua biashara zetu kwa mazoea bila kujua mambo mhimu yanayotakiwa ktk biashara ni yapi?? Mtu anafuga lakin hajuwi anatumia njia gani ya kufuga au mtu analima hajui kesho mvua isiponyesha atafanyeje ili mazao yake yasiwe na shida. wengi wetu tulikuwa tunafanya shughuri zetu za kibiashara kwa mazoea na bila tahadhari yoyote. bila ya ...